Vigezo na Masharti
1. Ninakubali kwamba nimesoma na kuelewa Sera ya Faragha na Azimio la Fidia.
2. Nimekubali kuwa kwa kuwasilisha fomu ya maombi ya kuingia na kushiriki mbio za Stop GBV Half Marathon Zanzibar, ninajua hatari zinzozoweza kutokea za mbio hizi ikiwamo kupata ajali, ugpungufu wa maji mwilini au hata kifo. Ninakubali kwa hiari yangu wala sijalazimishwa na nikiwa na akili timamu hatari zote na idhini ya kupata matibabu kwa hatari ya ajali au dharura.
3. Nitatii sheria na ratiba za Stop GBV Half Marathon Zanzibar, na nitatii maagizo yaliyotolewa na wasimamii wa mbio na kutambua kuwa wanahaki ya kukubali au kukataa ombi nje ya ratiba au taratibu za mbio.
4. Ninakubali kuwa ada ya kuingi ambayo nimelipa mwenyewe au mtu mwingine yeyote inanipa haki ya kushiriki wakati wa Stop GBV Half Marathon Zanzibar, na ni mchango wa kusaidia jamii, hivyo kwa namna yeyote sitaomba kurejeshewa.
5. Ninathibitisha kuwa ninakubali kwamba picha au picha zozote zilizopigwa wakati wa ushiriki wao na timu ya waandalizi na vyombo vya habari au picha na picha zozote zilizochapishwa kwenye mitandao ya kijamii chini ya Stop GBV Half Marathon Zanzibar au StopGBVHalfMarathon ili zitumiwe na waandaaji kutangaza.
6. Ninakubali kwamba nambari ya simu ambayo nimetumia kusajili inaweza na itatumika kwa mawasiliano ya baadaye k.m. ujumbe mfupi wa maandishi kuhusu Stop GBV Half Marathon Zanzibar na au Asma Mwinyi Foundation au washirika wake.
7. Saini ya mzazi/mlezi: Azimio kwa mtoto – ikiwa uko chini ya miaka 18 wakati wa kujisajili katika Stop GBV Half Marathon Zanzibar, tamko hili lazima likubalishwe na kuidhinishwa na mzazi wako au mlezi.
TERMS AND CONDITIONS
1. I acknowledge that I have read and understand the Privacy Policy and the compensation declaration (here in below):
2. I acknowledge that by submitting an application form to enter and participate in the Stop GBV Half Marathon Zanzibar race, I am aware of the potential risks including an accident, dehydration or even death. I voluntarily agree to the causes of all these risks and consent to receive treatment for the risk of an accident or emergency.
3. I will abide by the rules and schedules of the Stop GBV Half Marathon Zanzibar, and will abide by the instructions given by the race administrators and recognize they have the right to accept or reject a request outside the race schedule or procedures.
4. I agree that the entry fee that I paid myself or anyone else entitles me to participate during the Stop GBV Half Marathon Zanzibar, and is a contribution to the community, so in any case, I will not ask for a refund.
5. I confirm that I agree that any footage or photographs taken during their participation by the organizing team and present media outlets or any footage and photographs posted on social media under Stop GBV Half Marathon Zanzibar to be used by the organizers to publicise.
6. I accept that the mobile number I have used to register can and will be used for future communication e.g. text messages in regards to Stop GBV Half Marathon Zanzibar or StopGBVHalfMaraton and or Asma Mwinyi Foundation or its affiliated partners.
7. Parent/Guardian’s Signature: Declaration for children – if are under 18 at the time of enrolling in the Stop GBV Half Marathon Zanzibar, this declaration must be approved and approved by your parent or guardian.